Bwana Mdogo Lyrics – Alikiba and Ft. Patoranking is a new trending Swahili song. Song of Bwana Mdogo lyrics sung by Alikiba and Ft. Patoranking. This song written also by Alikiba. Song of Bwana Mdogo lyrics started by the line in the pronunciation language of English My gal we ni matata body matata mbaya eh. This song got a good knock in YouTube. Bwana Mdogo song music composition also by Alikiba. This beautiful song sung in the language of Swahili. Bwana Mdogo song got a music label by Alikiba. This song created in the album of Only One King. Bwana Mdogo is a song that again got each together Alikiba and Nigeria’s Patoranking after their last combined record Katika. So, let’s know the song of Bwana Mdogo lyrics and also play the music in below.

Bwana Mdogo Song Information
Song Name Bwana Mdogo
Singer Alikiba and Ft. Patoranking
Songwriter Alikiba
Album Only One King
Language Swahili
Directed By KyleWhite
Label Alikiba

You can also know Tu Yahin Hai and Dosshi Meye song lyrics.

Bwana Mdogo Lyrics – Alikiba and Ft. Patoranking

My gal we ni matata body matata mbaya eh
Bwana mdogo umenikamata unanicheza kama karata
Tulikutana kule Cape Cape town
Mpaka Accra Town dowtown eh
Eti una sifa za kudanga
Na mengi wanasema sijaona

Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
Wivu umewaingia Mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya

Wakiniona wananiita bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Hawajui ninachofanya mi bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo

Nikitema unashiba bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Kilimanjaro napanda mie bwana mdogo
Bado bwana mdogo bwa mdogo

Wakiniona wananiita bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Hawajui ninachofanya mi bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo

Nikitema unashiba bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Kilimanjaro napanda mie bwana mdogo
Bado bwana mdogo bwa mdogo

Wivu umewaingia mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya
Wivu umewaingia mungu kanionyesha ishara
Ndege wanashangilia na nitakupeleka ulaya

Wakiniona wananiita bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Hawajui ninachofanya mi bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo

Nikitema unashiba bwana mdogo
Bwana mdogo bwa mdogo
Kilimanjaro napanda mie bwana mdogo
Bado bwana mdogo bwa mdogo